Sikukuu za Kenya

Sikukuu za Kenya ni sikukuu karibu kumi na mbili zinazoadhimishwa kisheria nchini Kenya.

Tarehe Jina la Sikukuu
1 Januari Mwaka mpya
Tarehe inabadilika Ijumaa Kuu
Tarehe inabadilika Jumatatu ya Pasaka
1 Mei Sikukuu ya Wafanyakazi
1 Juni Sikukuu ya Madaraka[1]
Tarehe inabadilika (inahitaji kuonekana kwa Mwezi) Idd el Fitr
Tarehe inabadilika (inahitaji kuonekana kwa Mwezi) Idd el Adha
10 Oktoba Siku ya Moi[2]
20 Oktoba Sikukuu ya Mashujaa
12 Desemba Sikukuu ya Jamhuri[3]
25 Desemba Sikukuu ya Krismasi
26 Desemba Siku ya Utamaduni [4][5]
  1. "Madaraka Day in Kenya in 2021". Office Holidays (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo Januari 14, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Huduma Day in Kenya in 2021". Office Holidays (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo Januari 14, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Jamhuri Day in Kenya in 2021". Office Holidays (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo Januari 14, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "National Holidays in Kenya in 2020". Office Holidays (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-09-21.
  5. PSCU. "Moi Day renamed Huduma Day, Boxing Day, Utamaduni Day". The Standard (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-09-21.

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search